Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org
   MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   


MWANGA LUTHERAN KIDS PLAYGROUND

Mwanga Lutheran Kids Playground ni eneo maalum kwaajili ya michezo ya watoto, katika eneo hili la kuna michezo mbambali ya watoto ambayo ambayo itamfanya mtoto /watoto kujiweka sawa katika utimamu wa akili lakini kwa afya pia.

Tuna wakaribisha wazazi walezi kwaaji ya kuleta watoto wenu katika maeneo yetu ya michezo siku za mapumziko ilikuja kufurahi na kucheza pamoja na familia zenu .
Karibuni sana.


MFUKO WA KUDUMU WA MAENDELEO YA DAYOSISI LIPA NAMBA :  3 2 3 2 1 1   ELCT-MWANGA DIOCESE [ VODACOM ]