Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org
   MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   


UZINDUZI WA OFISI MAKAO MAKUU

Baba Askofu Dkt Alex G. Malasusa (Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani )kulia na kushoto ni Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Askofo CHEDIEL Elinanza Sendoro kwa pamoja walishirikiana kuongoza ibada ya uzinduzi wa Ofisi ya Makao Makuu ya Dayosisi ya Mwanga. Ambayo yamezinduliwa siku ya Bwana ya Watakatifu wote. Sambamba na uzinduzi huo Kulikuwa na ibada maalumu ya kubariki Wachungaji sita wa Dayosisi ya Mwanga, Same na Karagwe pamoja na ibada ya shukrani kwa Dayosisi ya Mwanga kutimiza miaka sita toka kuanzishwa kwake


MFUKO WA KUDUMU WA MAENDELEO YA DAYOSISI LIPA NAMBA :  3 2 3 2 1 1   ELCT-MWANGA DIOCESE [ VODACOM ]