Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org
   MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   


ENGLISH GRAMMAR

VINAUZWA KATIKA MAKTABA YETU

Karibu Ununue kitabu hiki kwa kuboresha Lugha ya Kiingereza katika matamshi na maandishi pia;
0715 516 379
0713 412 140PHYSICS 1

ADVANCED REVIEW

Kwa wanafunzi wa Advance wanaosoma masoma ya Sayansi vitabu katika picha hapo juu ni Muhimu kujipatia nakala yako ilikujiandaa vizuri kwaajili Mitihani yako.
Duka la Vitabu la Mwanga Lutheran tunatoa ushirikiano katika kumuandaa mwanafunzi kufaulu vizuri, mzazi ,mlezi au mwanafunzi mwenyewe usisite kupiga simu ili kupata huduma hii kwa bei nafuu.
0715 516 379
0713 412 140BIBLIA

BIBLIA YA WATOTO

Mark 10:13-16
Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse;Wanafunzi wake wakawakemea. 14 Ila Yesu alipoona alichukizwa sana,akawaambia,waacheni watoto wadogo waje kwangu,msiwazuie;kwamaana watoto kama hawa ufalme wa Mungu ni wao.

15.Amin, nawaambieni,yeyote asiye ukubali Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hatauingia kabisa. Akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabarikia.
0715 516 379
0713 412 140TUMWABUDU MUNGU WETU

KITABU KIKUBWA CHA NJIMBO ZA INJILI

Kitabu hiki cha Tumwabudu Mungu wetu ni kitabu cha nyimbo za injili ambacha kina nyimbo tofauti tofauti kinaweza kutumiwa na watu wajamii yote ilihali atakuwa ni mpenzi wakuimba ,kusifu au kuabudu Mungu wambiguni aliye hai.BIBLIA

MUONEKANO MZURI WA BIBLIA KATIKA RANGI TOFAUTI TOFAUTI

Katika kujali ubora na huduma Duka letu la vitabu kwaushikiano mkubwa kutoka kwa watenda kazi wake tuna hakikisha tunakupatia kile kilicho bora zaidi sana kukuletea vitabu mbalimbali katika muonekano tofauti.

Kwetu sisi Mwanga Lutheran Bookshop tuna hakikisha mteja anahudumiwa kile anacho hitaji kwaubora ulele.
Call:-
0715 516 379
0713 412 140GEOGRAPHY

PHYSICAL GEOGRAPHY

Karibuni tuwahudumie vitabu mbalimbali kwa matumizi ya Shule pia tunaweza kukutumia kitabu popote ulipo kwa makubaliano maalum na ofisi lakini pia usisite kututembelea Mwanga Lutheran Bookshop.

0715 516 379
0713 412 140HISTORY FORMS 5 AND 6

WORLD HISTORY

Kwa wanafunzi wa Advance wanaosoma masoma ya Art kuna vitabu vizuri kwaaji ya kujiandaa na mitihani yako ilikufanikisha ndoto zako. Mwanafunzi kufaulu vizuri nimaandalizi yanayo anzia kwa mzazi ,mlezi au mwanafunzi mwenyewe. Usisite kupiga simu ili kupata huduma hii kwa bei nafuu.

0715 516 379
0713 412 140


MFUKO WA KUDUMU WA MAENDELEO YA DAYOSISI LIPA NAMBA :  3 2 3 2 1 1   ELCT-MWANGA DIOCESE [ VODACOM ]