Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org
   MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   

RATIBA YA MATUKIO SHARIKANI/JIMBONI KIDAYOSIS 2022

TAREHE USHARIKA/KITUO JIMBO TUKIO
13.02.2022 Kanisa Kuu Tambarare Kumwingiza kazini Mkuu wa Jimbo na kutumwa kutumika Jimbo la Mashariki, Kuzindua Mnara wa Kengele na Jengo la Chekechea na Shule ya Jumapili
03.04.2022 Karamba Tambarare Harambee na kuweka Jiwe la Msingi jengo la Huduma kwa mtoto Mtaa wa Karamba senta
10.04.2022 Jipe Tambarare Harambee na kuweka Jiwe la Msingi Nyumba ya Mtumishi na kuweka wakfu madhabahu Mtaa wa Butu
24.04.2022 Mwanga Mjini & Kanisa Kuu Tambarare Uzinduzi wa Mitaa na Tamasha Majengo ya Kanisa Mitaa Mipya ya Mramba na Mandaka
01.05.2022 Jipe Tambarare Tamasha Nyumba ya Mtumishi Mtaa wa Jipe
01.05.2022 Ndambwe Mashariki Harambee kupaua kwa upya kanisa la Ndanbwe senta
08.05.2022 Kanisa Kuu Tambarare Tamasha la Ukarabati Kanisa Kuu
15.05.2022 Vuchama Magharibi Kufungu Ofisi ya Usharika na Harambee Kanisa Jipya Mgagau Senta
29.05.2022 Mgagau Tambarare Harambee kupaua kwa upya kanisa la Ndanbwe senta
03.07.2022 Mgagau Tambarare Harambee na Uzinduzi wa Mtaa Mpya wa Doya
31.07.2022 Mwanga Mjini Tambarare Harambee Jengo jipya la Kanisa Mwanga Mjini
31.07.2022 Lang’ata Bora Tambarare Harambee na Kuweka Jiwe la Msingi Kanisa Jipia Mtaa wa Lang’ata Bora
07.08.2022 Kwakoa Tambarare Harambee na Uzinduzi wa Mtaa Mpya wa Nyata
14.08.2022 Kirya Tambarare Kufungua Nyumba ya Mtumishi na Ofisi ya Usharika - Kirya Senta
21.08.2022 Karamba Tambarare Harambee na kuweka Jiwe la Msingi jengo la Kanisa Mtaa wa Toloha
28.08.2022 Nyumba ya Mungu Tambarare Harambee na kuweka Jiwe la Msingi Jengo Jipya la Kanisa na Kufungua Nyumba ya Mtumishi Spillway
04.09.2022 Jimbo Tambarare Harambee Maendeleo ya Jimbo Usharika wa Kisangara
18.09.2022 Karamba Tambarare Harambee kumalizia Jengo la Kanisa Mtaa wa Mbaro
18.09.2022 Lambo Magharibi Harambee jengo la Kanisa Lambo
25.09.2022 Lang’ata Bora Tambarare Harambee na kuweka Jiwe la Msingi jengo la Mtaa wa Kagongo
02.10.2022 Kirya Tambarare Tamasha Jengo la Kanisa Mtaa wa Masambura
02.10.2022 Masumbeni Magharibi Harambee ujenzi wa Kanisa Mtaa wa Masumbeni
16.10.2022 Mwanga Mjini Tambarare Harambee jengo la Mtaa wa Mforo
16.10.2022 Ndambwe Mashariki Harambee kuendeleza Ujenzi wa Kanisa Mtaa wa Songoa
23.10.2022 Mwanga Mjini na Kanisa Kuu Tambarare Harambee la Viti/benchi Mwanga Mjini
23.10.2022 Mgagau Tambarare Harambee Jengo la Mtumishi Mtaa wa Ngusero
30.10.2022 Kanisa Kuu Tambarare Siku ya Matengenezo ya Kanisa + Uimbaji Kidayosisi
06.11.2022 Kanisa Kuu Tambarare Siku ya Kuzaliwa kwa Dayosisi + Kubariki Wanafunzi wa Uchungaji na kuaga Mchungaji Mstaafu
13.11.2022 Jipe Tambarare Harambee na Kuweka Jiwe la Msingi la Kanisa Jipya Mtaa wa Kivisini
20.11.2022 Kirya Tambarare Harambee jengo Jipya la Kanisa Mtaa wa Irimba
20.11.2022 Jimbo Mashariki Harambee ujenzi wa Ofisi ya Jimbo Usharika wa Usangi
27.11.2022 Mgagau Tambarare Harambee la Ukarabati wa jengo la zamani la Kanisa Mtaa wa Kauzeni kuwa jengo la Shule ya Jumapili na Chekechea pamoja na kuondoa madhabahu
27.11.2022 Kwamsembea Mashariki Harambee kumalizia jengo la Kanisa Mtaa wa Ngujini
04.12.2022 Msangeni Magharibi Kuzinduajengo Mtaa wa sungo na kufungua Jengo la Ofisi Usharika Msangeni senta