Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org   MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   

MFUKO WA KUDUMU WA MAENDELEO YA DAYOSISI LIPA NAMBA :  3 2 3 2 1 1   ELCT-MWANGA DIOCESE [ VODACOM ]

MWANGA DIOCESE


ZAWADI KWA MGENI RASMI

Mhe. Baba Askofu akikabidhi zawadi ya mgeni rasmi kwa Mhe.. Deogratius J. Ndejembi Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI akimuwakilisha Waziri wa Fedha wa Jamuuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.. Mwigulu Nchemba. katika Ibada Maalumu ya uzinduzi wa Harambee ya Maendeleo KKKT Dayosisi Ya Mwanga akimuakilisha ....MCHUNGAJI VICKY JAPHET NGOWI

Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Mhe. Baba Askofu Dr. Benson Bagonza na Mchungaji Vicky Japhet Ngowi wa Dayosisi ya Mwanga Wakiwa kwenye picha ya Pamoja katika Ibada ya kuwabariki Kuwa Mchungaji wa KKKT Dayosisi ya Mwanga....UZINDUZI WA OFISI MAKAO MAKUU

Baba Askofu Dkt Alex G. Malasusa (Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani )kulia na kushoto ni Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Askofo CHEDIEL Elinanza Sendoro kwa pamoja walishirikiana kuongoza ibada ya uzinduzi wa Ofisi ya Makao Makuu ya Dayosisi ya Mwanga. Ambayo yamezinduliwa siku ya Bwana ya Watakatifu wote. Sambamba na uzinduzi huo Kulikuwa na ibada maalumu ya kubariki Wachungaji sita wa Dayosisi ya Mwanga, Same na Karagwe pamoja na ibada ya shukrani kwa Dayosisi ya Mwanga kutimiza miaka sita toka kuanzishwa kwake ....