Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org




   MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   


RT.REV.CHEDIEL ELINAZA SENDORO

ASKOFU WA KKKT DAYOSISI YA MWANGA Tarehe ya kuzaliwa: 01/05/1970
Mahali alipozaliwa: Dar es Salaam
Uraia: Mtanzania
Ameoa/Hajaoa: Ameoa tar. 28/12/1996 amemuoa Marystella S. Kilato
Namba ya Simu: +255 754 304444
Barua pepe: csendoro70@yahoo.com
Sanduku la barua: S.L.P. 41490, Dar es Salaam, Tanzania
Watoto: 1. Erica C. Sendoro kuzaliwa 18/10/1997
2. Eric C. Sendoro kuzaliwa 02/02/2000
Kuwekwa wakfu: 16/09/2006

Muhtasari wa kufuzu
Shahada ya II ya Theology kwa upande wa Misioni 2008
Shahada ya I ya Theology 2006
Hatua ya II ya Uhasibu 1995
Cheti cha Uhasibu 1993
National Services Certificate 1992
Elimu ya Juu ya Sekondari 1991
Elimu ya Sekondari 1988
Elimu ya Msingi 1984

Elimu, Mafunzo na Vyuo
2012 mpaka sasa: ABO Akademi, Finland Pursing Doctorate in Theology (ThD)
2001 – 2008 Chuo Kikuu Tumaini Makumira
1993 – 1995 Chuo cha Bodi ya Wahasibu na Ukaguzi (NBAA)
1992 – 1993 Shule ya Uhasibu Dar es Salaam
1991 – 1992 National Services
1989 – 1991 Elimu ya Juu ya Sekondari
1985 – 1988 Elimu ya Sekondari
1978 – 1984 Elimu ya Msingi

Uzoefu kazini
06/11/2016 mpaka sasa: Askofu wa KKKT-Dayosisi ya Mwanga
2013 – 2016: United Evangelical Mission as Deputy Executive Secretary for Africa
2011 – 2012: Evangelical Lutheran Church in Tanzania, Eastern and Coastal Diocese as Deputy General Secretary for Theology, Mission and Evangelism
2006 – 2010: Evangelical Lutheran Church in Tanzania, Eastern and Coastal Diocese as a Pastor and Officer for Mission and Evangelism
1993 – 2000: Christian Council of Tanzania as Accounts Clerk, Assistant Accountant, and finally Accountant



MCH. TIMOTHY JONAS MSANGI

MSAIDIZI WA ASKOFU KKKT DAYOSISI YA MWANGA Tarehe ya kuzaliwa: 19/07/1971
Mahali alipozaliwa: Kilimanjaro
Uraia: Mtanzania
Kuoa/kuolewa: Ameoa tarehe 31/12/2005 Mary N. Mganga
Namba ya simu: +255 784 706220
Barua pepe: msangitijo@gmail.com
Sanduku la barua: S.L.P. 46 Usangi, Mwanga – Kilimanjaro
Watoto: 1. Adrienne T. Msangi kuzaliwa 03/04/2007
2. Agnes T. Msangi kuzaliwa 06/07/2008
3. Alice T. Msangi 30/01/2012
Kuwekwa wakfu: 27/10/2002

Muhtasari wa kufuzu
• Shahada ya pili ya Theology kwa mambo ya Misioni 2008
• Shahada ya kwanza ya Theology 2002
• Cheti cha Elimu ya juu ya Sekondari 1994
• Cheti cha Elimu ya Sekondari 1991
• Cheti cha Elimu ya Msingi 1987

Shule na Vyuo nilivyopata elimu
2006 – 2008 Chuo Kikuu Tumaini – Makumira
1997 – 2002 Chuo Kikuu Tumaini – Makumira
1992 – 1994 Elimu ya Juu ya Sekondari
1988 – 1991 Elimu ya Sekondari
1981 – 1987 Elimu ya Shule ya Msingi

Uzoefu kazini
06/11/2016 mpaka sasa: Msaidizi wa Askofu KKKT – Dayosisi ya Mwanga
2010 – 2016: Msaidizi wa Askofu KKKT – Dayosisi ya Pare
2008 – 2010: Mchungaji Kiongozi Usharika wa Mbaga KKKT-Dayosisi ya Pare
2002 – 2006: Mchungaji Kiongozi Usharika wa Mcheni KKKR-Dayosisi ya Pare



MATHIAS KANYIKA MSEMO

KATIBU MKUU DAYOSISI YA MWANGA Tarehe ya kuzaliwa: 18/02/1967
Mahali alipozaliwa: Mwanga, Kilimanjaro
Uraia: Mtanzania
Ameoa/Hajaoa: Ameoa tar. 25/07/1998 amemuoa Millan E. Lema
Namba ya Simu: +255 752 115528
Barua pepe: mkmsemo@gmail.com
Sanduku la barua: S.L.P. 14335, Arusha, Tanzania
Watoto: 1. Linahighness M. Msemo kuzaliwa 25/08/1999
2. Careen M. Msemo kuzaliwa 24/09/2004
3. Joan M. Msemo kuzaliwa 19/12/2009
4. Joella M. Msemo kuzaliwa 19/12/2009

Kuingizwa kazini: 17/01/2021

Muhtasari wa kufuzu
Shahada ya II ya Biashara katika Usimamizi wa TEHAMA (MBA-IT Management) 2010
Post-graduate Diploma in Scientific Computing 2006
Shahada ya I ya Sayansi – Hisabati na Takwimu 1996
Jeshi la Kujenga Taifa (National Services Certificate) 1991
Elimu ya Juu ya Sekondari 1990
Elimu ya Sekondari 1987
Elimu ya Msingi 1983

Uzoefu kazini
01/01/2021 mpaka sasa: Katibu Mkuu wa KKKT-Dayosisi ya Mwanga
2011 – 2020: Mshauri (Consultant) katika mifumo ya TEHAMA kwenye huduma ndogo za fedha (Microfinance na SACCOS)
1997 – 2011: Msimamizi wa mfumo wa TEHAMA kwenye huduma ndogo za fedha (Microfinance)

Uzoefu wa kazi za Kanisa
2019 – 2020 Mzee wa Kanisa, Usharika wa Enaboishu Arusha, Mtaa wa Chemchem
2017 – 2019 Mwenyekiti wa Majengo Usharika wa Enaboishu Arusha, Mtaa wa Chemchem
2014 -2018 Mjumbe wa Kamati ya Utumishi Usharika wa Enaboishu Arusha
2008 – 2016 Mzee wa Kanisa, Usharika wa Ilboru, baadae Usharika wa Enaboishu Arusha, Mtaa wa Chemchem