Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org       MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   

    HARAMBEE YA MAENDELEO DAYOSISI

    Harambee ya Maendeleo ya Dayosisi ya Mwanga ambayo itazinduliwa rasmi,tarehe 17/09/2023 katika Usharika wa Kanisa Kuu Mwanga na kilele cha Harambee kitakuwa tarehe 05/11/2023 siku ya kuadhimisha miaka saba ya kuzaliwa kwa KKKT Dayosisi ya Mwanga.