Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org



       MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   

    BABA ASKOFU CHEDIELI E. SENDORO

    Kwa masikitiko Makubwa tunapenda kuwatangazia Wakristo wote na wote walio Guswa na msiba wa Mhe. Askofu CHEDIELI E. SENDORO Amefariki Dunia Kwa ajali ya Gari.Hivyo taratibu nyingine kwa ajili ya Maziko Zinaendelea KKKT Dayosisi Ya Mwanga na taarifa Kamili Tutakuwekea hapa hapa kwenye Tovuti Yetu na Youtube Chanel Yetu.....