Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org       MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   

    NAIBU WAZIRI WA AFYA

    Mhe. Dr. Godwin Oloyce Mollel (Mb) na Naibu waziri wa Afya ameshiriki Ibada ya kubariki Wachungaji, kuadhimisha miaka saba ya Dayosisi ya Mwanga na kilele cha Harambee ya Maendeleo ya Dayosisi ilio fanyika Usharika wa Kanisa Kuu Mwanga . Akimuakilisha Waziri wa Fedha Mhe. Dr. Mwigulu Nchemba ambaye alikubali Kuwa mgeni Rasmi.