Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org       MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   

    MRADI WA KIWANDA CHA MAZIWA USHARIKA WA SHIGHATINI

    Mradi huu wa kiwanda cha maziwa unatarajiwa kukamilika hivi karibuni. Nimradi wa kimkakati ambao utasaidia watu mbalimbali kupata huduma ya maziwa lakini sio huduma tu watu aujamii itanufaika namradi huu kibiashara.