Tel: +255752115528| Mail: info@elctmwd.org       MWANGA BOOK SHOP         OUR PARTNERS   

    MIAKA SABA YA DAYOSISI YA MWANGA

    Kwenye picha ni Mhe. Baba Askofu Charles Mjema. Askofu wa Dayosisi ys Pare, Akifuatiwa na Mkuu wa wilaya ya Mwanga MH. Abdallah Mwaipaya. Pia yuko Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Mhe. Baba Askofu Dr. Benson Bagonza pamoja na Mhe. Dr. Godwin Oloyce Mollel (Mb) na Naibu waziri wa Afya na Mwisho ni Mhe. Baba Askofu Chedieli Elinanza Sendoro. Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Mwanga.Walishiriki Ibada ya kubariki Wachungaji, kuadhimisha miaka saba ya Dayosisi ya Mwanga na kilele cha Harambee ya Maendeleo ya Dayosisi ilio fanyika Usharika wa Kanisa Kuu